Murray kuchangia mapato yake kwa watoto Ukraine
Nyota wa tennis raia wa England Andy Murray ameahidi kutoa mapato yake yote ya tuzo na fedha kwa kipindi kilichobaki kwa mwaka mzima kuanzia sasa ili kuwasaidia watoto walioathiriwa na uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.

