Mtoto amesafiri kutoka Ukraine hadi Slovakia
Kijana wa miaka 11 anaefahamika kwa jina la Hassan amesafiri km 1200 peke yake kutoka nchini Ukraine mpaka Slovakia kutafuta hifadhi akiwa na mabegi mawili, passport na namba ya simu ya ndugu zake waliokimbilia Slovakia.

