Aliyebadilisha jinsia hataondoka Ukraine

Zi Faamelu

Mwanamziki Zi Faamelu ambaye mwanzo alikuwa mwanaume kabla ya kubadilisha maumbile na kuwa mwanamke, amezuiliwa kuondoka nchini Ukraine kwa sababu bado anatumbulika kama mwanaume katika vyeti vyake, hivyo anatakiwa kubaki Ukraine na kupigania taifa lake.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS