Vijana waliofukuzwa JKT wasamehewa Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo Mkuu wa Majeshi Jenerali Venance Mabeyo,amewasamehe Vijana 854 wa JKT waliofukuzwa makambini April 12,2021 kutokana na utovu wa nidhamu. Read more about Vijana waliofukuzwa JKT wasamehewa