Tyson Fury kustaafu ngumi, Aprili

Tayson Fury bingwa wa uzito wa juu wa Dunia mara mbili kwa sasa anamili mkanda wa WBC

Bondia wa uzito wa juu raia wa Uingereza Tayson Fury amesema anaweza kustaafu kucheza masumbwi baada ya pambano lako dhidi ya bondia mwenzie Mwingureza Dilian Whyte litakalofanyika Aprili 23 mwaka huu.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS