Rais Samia azindua jengo la Makao Makuu CRDB

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kushoto) na kulia ni Jengo la CRDB

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Machi 5, 2022 amezindua Jengo la Makao Makuu ya Benki ya CRDB lililopo Barabara ya Ali Hassan Mwinyi Posta jijini Dar es Salaam.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS