Wachezaji wa Ukraine waungana kupinga vita
Wachezaji kadhaa wa timu ya taifa ya soka ya Ukraine, akiwemo Oleksandr Zinchenko wa Man City na nyota wa West Ham Andriy Yarmolenko wameungana kuwaambia mashabiki, wachezaji na makocha kupinga propaganda ya Urusi na kukomesha umwagaji damu unaoendelea tangu Urusi wavamie Ukraine.

