Azam FC kuwakosa wachezaji watano leo

(Rodgers Kola akishangilia baada ya kufunga moja ya bao kwenye Ligi kuu)

Ligi Kuu ya NBC Tanzania inataraji kuendelea tena leo Jumanne Machi 1, 2022 kwa mchezo mmoja ambapo Azam FC watakuwa wenyeji wa Coastal Union wagosi wa kaya saa 1:00 usiku kwenye dimba la Chamazi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS