Shabiki wa Simba SC ajinyonga Mbeya
Klabu ya soka ya Simba SC imeeleza kupokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha shabiki wake Khalfan Mwambena, ambaye kwa mujibu kwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya Christina Musyani alijinyonga Jumatatu Januari 17, 2022.