"Ukraine walimwamini mchekeshaji" - Rais wa Brazil
Rais wa Brazil, Jair Bolsonaro amekataa kuiwekea vikwazo Urusi baada ya kuvamia ardhi ya Ukraine na kuanzisha vita, na kusema Brazil haitaegemea upande wowote kuhusiana na kile kinachoendelea Ukraine.

