Mtoto amkatakata baba yake kwa shoka

Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora ACP Richard Abwao

Jeshi la Polisi mkoa wa Tabora linamshikilia kijana Michael Jacobo (25) mkazi wa Kijiji cha Upungu wilaya ya Nzega kwa tuhuma kumuua baba yake mzazi Jacobo Lubela, baada ya  kumvizia majira ya jioni akiwa nje ya  nyumba na kumkata shoka kichwani, shingoni  na mikono yote miwili.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS