Azam yafichua kinachowakwamisha kwenye Ubingwa (Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin 'Popat') Uongozi wa Klabu ya Azam Fc umekiri kuwa wamefanya tathmini na kubaini kuwa wanayo matatizo yao binafsi ambayo yanachangia wao kushindwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania bara. Read more about Azam yafichua kinachowakwamisha kwenye Ubingwa