Walimu kutokuvaa suti yasaidia ujenzi wa madarasa
Wakuu wa shule wilayani Mbogwe mkoani Geita ililazimika wapigwe marufuku kuvaa suti mpaka watakapokamilisha vyumba vya madarasa 75 katika shule 16 za sekondari ambapo kwa wilaya hiyo walipokea shilingi bilioni 1.5 na kubakisha chenji ya shilingi milioni 4.