Binti mwenye mtoto na Ibraah afunguka mazito

Picha ya Kim Mishepu, Ibraah na mtoto wao

Mwanamke aliyepata mtoto na msanii Ibraah kutoka Konde Gang Kim Mishepu amesema hapati msaada wowote kutoka kwa msanii huyo licha ya kuwa ana tatizo la mshono alilopata baada ya kujifungua.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS