Bielsa afutwa kazi baada ya miaka 4 Leeds united

(Kocha Marcelo Bielsa)

Aliyekua kocha mkuu wa Leeds United Marcelo Bielsa ametimuliwa kazi na klabu ya Leeds United baada ya kua mwenendo wa matokeo mabaya baada ya timu hiyo kukosa ushindi katika michezo sita mfululizo na kufungwa michezo minne mfululizo kwa idadi kubwa ya magoli.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS