UVIKO-19 yaiathiri kambi ya Tottenham Spurs Kuelekea kwenye mchezo wa Nusu fainali ya Carabao Cup, utakaofanyika kesho, Klabu ya Tottenham Spurs wametangaza kukumbwa na visa viwili vya wachezaji waliokutwa na UVIKO-19. Read more about UVIKO-19 yaiathiri kambi ya Tottenham Spurs