Askofu kwanini hakutoa taarifa polisi?- Waziri

Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. George Simbachawene

Waziri wa Mambo ya Ndani Mh. George Simbachawene, amemtaka Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro, kumtafuta na kumhoji Askofu Josephat Mwingira ili kusaidia kupata ukweli zaidi wa tuhuma nzito alizozitoa.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS