Samba ili msichana aolewe yapingwa Shinyanga
Kutokana na kuwepo kwa baadhi ya mila na desturi zinazoendelea kuwa chanzo cha ukatili kwenye jamii, Wizara ya Afya imeanza mkakati wa kubaini mila na desturi zenye madhara ili kuziondoa kwa kushirikisha jamii.