Askofu Desmond Tutu Afariki Dunia

Askofu Desmond Tutu

Askofu wa Afrika Kusini na Mshindi wa tuzo ya Nobel Desmond Tutu, ambaye aliisaidia Afrika Kusini kumaliza ubaguzi wa rangi amefariki dunia leo Desemba 26, 2021 Cape Town, akiwa na umri wa miaka 90.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS