Mapacha waoana na mapacha wenzao

Picha ya mapacha wa kiume waliowaoa mapacha wa kike

Wasanii maarufu ambao ni mapacha Tagwayen Asali kutoka Mji wa Kano Nigeria wame-make headline baada ya kufunga ndoa siku moja na wanawake mapacha wanaoitwa Hassana na Hussaina.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS