Mo Dewji atangaza kufuru Simba Mwekezaji wa Simba, Mohamed Dewji Mwekezaji wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ametangaza kuchangia kiasi cha Bilioni 2, ikiwa ni ya awali katika kuhakikisha Simba inajenga Uwanja wake ambao utatumika katika mashindano mbalimbali wanayoshiriki. Read more about Mo Dewji atangaza kufuru Simba