Kyrie Irving kurejea NBA (Nyota wa Brooklyn Nets, Kyrie Irving) Nyota wa Brooklyn Nets, Kyrie Irving yu mbioni kurejea kwenye Ligi ya kikapu nchini Marekani NBA baada ya kuwa nje ya ligi hiyo tokea Oktoba mwaka huu kufuatia kugoma kupata chanjo ya Covid-19. Read more about Kyrie Irving kurejea NBA