Djokovic atamani medali ya dhahabu Paris 2024 Nyota wa tennis Novak Djokovic Nyota wa tennis kutoka Serbia Novak Djokovic amesema malengo yake kwa sasa ni kunyakua medali ya dhahabu kwenye michezo ya olympic inayotarajiwa kufanyika mnamo mwaka 2024 mjini Paris nchini Ufaransa . Read more about Djokovic atamani medali ya dhahabu Paris 2024