Carragher alia na UEFA kufuta goli la ugenini.

(Jamie Carragher na Kylian Mbappe akiwa anafunga goli dhidi ya Real Madrid)

Gwiji wa zamani wa Liverpool, Jamie Carragher amesema kitendo cha Shirikisho la soka barani ulaya UEFA kufuta mfumo wa faida ya goli la ugenini, kumefanya baadhi ya timu zijilinde zaidi kuliko kushambuliwa zikiwa ugenini.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS