Zijue sababu zitakazopelekea unyimwe urithi
Afisa Sheria kutoka Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA), Janeth Mandawa, amesema ni lazima mtoto kupatiwa urithi na mzazi wake ila ikitokea mtoto huyo kafuja mali, hakumhudumia mzazi ama kuzini na mwenza wa mzazi wake basi Baba ama Mama anayo haki ya kumnyima mtoto wake urithi.