Mane na Salah kufanya kikao na Klopp

(Mohammed Salah, Kocha Jurgeni Klopp na Sadio Mane wa Liverpool)

Nahodha wa timu ya Egypt, Mohammed Salah anataraji kujiunga na klabu yake ya Liverpool leo Februari 8, 2022 na kuna uwezekano mkubwa wa kuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kwwenye mchezo wa EPL dhidi ya Leicester City Alhamis ya Februari 10, 2022.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS