BM3 ameandika maelezo Simba SC?
Klabu ya Simba imethibitisha kutopokea barua ya maelezo kutoka kwa mchezaji wao Bernald Morrison ambaye wamemsimamisha kwa makosa ya utovu wa nidhamu, Februari 4, 2022. ambapo klabu ya Simba ilitoa taarifa ya kumsimamisha mchezaji huyo.

