"Wanufaika wa mikopo walipe asilimia 8" - Matiko
Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA Esther Matiko, amehoji ni lini serikali itabadilisha sheria ya riba kwa wanufaika wa mikopo ya elimu ya juu kwamba badala ya kulipa riba ya asilimia 15 walipe asilimia 8 pekee ili kutoa wajuzi na siyo kugeuzwa kuwa chanzo cha mapato.