Fahamu siku ambayo magari yataanza kukaguliwa
Waziri wa Viwanda na Biashara, Geoffrey Mwambe, amesema kuwa zoezi la ukaguzi wa magari yanayotoka nje ya nchi litaanza kutekelezwa mara moja ifikapo Machi 1, 2021, huku lengo likiwa ni kuhakikisha bidhaa zote zinazoingizwa nchini zina ubora unaohitajika.