Brooklyn Nets yathibitisha kumpata James Harden James Harden Ikiwa ni siku chache baada ya kusimamishwa kufanya mazoezi na timu yake ya Houston Rockets, James Harden, ametangazwa rasmi leo tarehe 14 Januari 2021 kujiunga na Brooklyn Nets ya NBA nchini Marekani. Read more about Brooklyn Nets yathibitisha kumpata James Harden