Wahbi akabidhiwa malengo mazito "The Atlas''
Baada ya Shirikisho la Soka la Morocco kumtangaza Mohamed Ouahbi (Wahbi) kuwa Kocha mkuu wa timu ya timu Taifa ya Soka ya Wanaume "The Atlas'' akichukua nafasi ya Walid Regragui aliyetangaza kuachia ngazi hapo jana Machi 05/2026, Wahbi amepewe jukumu la kuifikisha Morocco mbali kisoka

