Ashikiliwa kwa kudai mtoto aliyejifungua ameibiwa Inadaiwa kuwa majira ya saa saba usiku, Agnes aliwaita ndugu akiwa chumba cha kujifungulia na kuwaeleza kwamba amejifungua na tabibu aliyemhudumia ameondoka na mtoto. Read more about Ashikiliwa kwa kudai mtoto aliyejifungua ameibiwa