Sugu aelezea hofu ya kuimba
Mbunge wa Mbeya Mjini na Mkongwe wa Hip Hop, Joseph Mbilinyi 'Sugu'amesema kwamba muziki 2wa zamani umepitia changamoto nyingi sana ndiyo maana hata katika mistari ya Albam zake za mwanzoni kulikuwa na manenoo ya kiharakati sana.