Maandalizi ya AFCON 2019 yaanza Shirikisho la soka nchini TFF limeendelea na maandalizi ya kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 (Serengeti Boys) itakayoshiriki fainali za AFCON U17 zitakazofanyika hapa Tanzania. Read more about Maandalizi ya AFCON 2019 yaanza