Usain Bolt kufanya majaribio Dortmund Nyota wa zamani wa riadha duniani Usain Bolt, amesema amepona majeraha yaliyokuwa yanamsumbua kwa muda mrefu, na sasa yupo mbioni kufanya majaribio kwenye klabu ya Borussia Dortmund. Read more about Usain Bolt kufanya majaribio Dortmund