Evra anaweza kurejea England ? Mlinzi wa kushoto wa zamani wa Manchester United na Juventus Patrice Evra huenda akarejea nchini England baada ya kuwepo kwa tetesi za kutaka kusajiliwa na klabu ya West Ham United. Read more about Evra anaweza kurejea England ?