Roma Mkatoliki apigwa rungu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo imemtaka msanii Roma Mkatoliki pamoja na Stamina kufanya marekebisho kwenye wimbo wake wa 'Kibamia' ambao umeonekana kukiuka maadili. Read more about Roma Mkatoliki apigwa rungu