Wanafunzi watano wakamatwa kwa kupata mimba Jumla ya wanafunzi watano wa kike wa shule za sekondari Tandahimba waliopata mimba mwaka 2017 wamekamatwa pamoja na wazazi watano baada ya kufanyika msako. Read more about Wanafunzi watano wakamatwa kwa kupata mimba