Samatta akaribia kutwaa kombe Mchezaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Ally Samatta akiwa na klabu yake ya KRC Genk amefanikiwa kutinga fainali ya Kombe la Ubelgiji baada ya kushinda mchezo wa nusu fainali dhidi ya Kortrijk. Read more about Samatta akaribia kutwaa kombe