Simba na Azam FC zampa kigugumizi Msajigwa

Kocha Msaidizi wa klabu ya Yanga, Shadrack Msajigwa ameogopa kuongelea mechi ya watani wao wa jadi Simba dhidi ya Azam FC, kwa kudai wao wanajiangalia wenyewe na wala sio timu nyingine japokuwa lazima uwepo ushindani kwenye ligi.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS