Aliyemuapisha Odinga afukuzwa Kenya Mwanasheria maarufu wa nchini Kenya Miguna Miguna aliyemuapisha Raila Odinga, amefukuzwa nchini Kenya (deported) na kupelekwa Canada, chini ya uangalizi wa serikali. Read more about Aliyemuapisha Odinga afukuzwa Kenya