Kambale wa Singida United atii amri Nyota wa kimataifa wa Singida United Kambale Salita gentil ameiomba msamaha klabu hiyo baada ya kumsimamisha kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu uwanjani. Read more about Kambale wa Singida United atii amri