"Kama huna hela unakufa" - Wananchi

Wakazi wa kijiji cha Mtegu Wilayani Tandahimba mkoani Mtwara, wamelalamikia serikali kwa kutowezesha kutumika kwa majengo ya zahanati waliyojenga kwa nguvu zao na michango yao.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS