TFF yakanusha taarifa Shirikisho la soka nchini TFF limekanusha taarifa zinazosambaa kuwa limebadilisha waamuzi wa mchezo wa kesho wa ligi kati ya wenyeji Simba dhidi ya Azam FC. Read more about TFF yakanusha taarifa