Baraka asema sababu za kwenda kwa Lissu
Mwanamuziki anayefanya vizuri na ngoma ya 'Sometimes', Baraka The Prince amesema kwamba kama angerudi nchini bila kwenda kumuona Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu aliyelazwa Nairobi akijiuguza majeraha ya risasi, basi nafsi ingemsuta sana.