Yanga na Azam zapelekwa mikoani

Mabingwa wa kwanza wa Kombe la Shirikisho nchini Yanga SC watasafiri hadi mkoani Mbeya kucheza na Ihefu FC katika hatua ya 32 bora ya michuano hiyo ya (ASFC), kati ya Januari 31 na Februari 1.

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS