Rihanna atua Senegal licha ya kupigwa stop

Msanii maarufu duniani wa muziki wa Pop Robyn Rihanna Fenty maarufu kama Rihanna, amewasili nchini Senegal licha ya watu wa dini nchii humo kupinga ujio wake, wakimtuhumu kuwa ni mwanachama wa Iluminati (Freemason)

Pages

Subscribe to East Africa Television RSS