Wavaa nguo fupi na kubana, wazungumziwa!
Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa Tanzania Godfrey Mngereza, amesema wanawake wanaovaa nguo fupi mbele za watu hawako sahihi, kwani licha ya kuwa wana uhuru wa kufanya hivyo, lakini wanavuka mipaka ya uhuru huo.