Pluijm kuhamishia Singida mafanikio ya Yanga ?
Leo ni siku ya kuzaliwa ya kocha wa Singida United Hans Van Pluijm, kocha mwenye rekodi kubwa kwenye ligi kuu soka Tanzania bara na anaendelea kuweka rekodi akiwa na klabu hiyo iliyopanda daraja msimu huu.