"Nataka kununua ndege" – Tausi Msanii wa filamu bongo ambaye ni mchekeshaji maarufu, Tausi Mdegela, ameweka wazi malengo yake ya kununua ndege ili kusaidia wakazi wa mkoa wa kwao Iringa. Read more about "Nataka kununua ndege" – Tausi